Wadau wa Tapifa tunawakumbusha kulipia ADa zenu

Posted by:humphrey

Ada ya chama huwa ni Elfu Hamsini 50,000 kwa mwanachama mpya na kwa mwanachama anayeendelea ni Elfu Thelathini 30,000 Hii ADA ni kwa mwaka mzima.